Ndg Zitto akihutubia wananchi wa Wilaya ya Maswa-Simiyu |
Kiongozi chama cha ACT Wazalendo Ndg Zitto Kabwe amehitimisha ziara yake kwa kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi wa Wilayani Maswa mkoani Simiyu na kuzungumzia mambo mawili muhimu ambayo chama chao kimelenga zaidi katika jamii kuwa ni elimu pamoja na kumuinua mkulima wa zao la pamba hapa nchini.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa Zitto katika viwanja vya madeko vilivyopo wilayani maswa mkoani simiyu. |
Msanii Afande Sele aliyeambatana na Zitto katika ziara yake |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni