Jumapili, 5 Aprili 2015

MOVIE MPYA YA THE BEATFULLY POSTERS KUINGIA MTAANI APRIL 30

THE BEATFULLY POSTERS ni movie nzuri sana inayomhusu kijana leonard sambala ,ant ezekiel bila kumsahau kijana anayefanya mapinduzi ya hatari dar kisanii  .joseph machemba a.k.a machemba the young great from simiyu bariadi tarehe 30 mwezi wa 4 itakuwa mtaani ndugu wapenzi wa film zetu na wale ambao siyo wapenzi kwa sasa ndiyo tuzipende maana kuna mabadiliko ya ajabu tanzania movies one love tanzania .



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni