WAGENI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA WATEMBELEA REDIO SIBUKA FM
kutoka kushoto ni mgeni bw. Niyi Bello kutoka chuo cha utangazaji na mawasiliano Texas U.S.A akiwa na mmoja wa watangazaji wa redio sibuka
aliyevaa suti nyeusi ni mwenyekiti wa COMNETA bw Joseph sekiku na wapili kutoka kulia ni bi Jorida kutoka Fadeco fm na wakwanza mstari wa pili kutoka kushoto ni bw Abdallah Mashaka wakiwa pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa redio sibuka fm
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni