 |
|
|
Community Media Consultant, Trainer/Mentor, Facilitator at CDEA |
|
|
Bi Rose Haji Mwalimu aka Mama Rose akitoa mafunzo kwa wamiliki ,mameneja na wahariri wa redio za kijamii (COMNETA) kutoka Tanzania Bara na visiwani yaliyofanyika kwa muda wa siku tatu (8-10/4/2015) katika ukumbi wa no.5 uliopo chuu kikuu huria kinondoni jijini Dar es salaam.
 |
Kutoka kushoto ni Juma Sanifu Sheha afisa elimu ya mpiga kura (ZEC) katikati ni Malima Elias principal information officer (NEC) na mwisho ni Felician Ncheye makamu mwenyekiti wa COMNETA.
Kutoka kushoto ni Bi Beatrice kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa katikati ni Felician Ncheye makamu mwenyekiti wa COMNETA.na mwishoni ni Balozi Christopher Liundi mlezi wa COMNETA.
Kutoka kushoto ni Bi Margaret Rugambwa gender specialist _DEP anayefatia Bw Kondo Self advocate officer under the same sun anayefatia Bw Martin Kaule programe officer under the same sun na aliyesimaa ni Bw Felician Ncheye makamu mwenyekiti wa COMNETA.
Bw Davis Alex msemaji wa mtandao wa haki za binadamu.
Baadhi ya wamiliki na mameneja wa redio jamii wakipewa mafunzo kutoka kwa wataalam mbalimbali.Mafunzo hayo yaliambatana na kumuaga makamu mwenyekiti wa chuo kikuuhuria kilichopo kinondoni jijini Dar es salaam profesa Mbwete Nicodemus aliyechaguliwa kuwa mkuu wa vyuo vikuu vya kanda.
kutoka kushoto ni Bi Rose Haji Mwalimu community media consultant aliyevaa suti nyeusi ni aliyekuwa makamu mkuu wa chuo kikuu huria cha jijini Dar es salaam (muagwa) aliyesimama ni mwenyekiti wa COMNETA bw Joseph Sekiku
na mwisho ni Balozi Christopher Liundi.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni