Jumamosi, 25 Aprili 2015

Nkurunziza kugombea licha ya pingamizi

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ameteuliwa na chama chake kama mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwezi Juni

Van Gaal amtaka Ryan Giggs kumrithi

Ryan Giggs na Louis Van Gaal

Wenger na Mourinho warushiana maneno

Arsene Wenger

Kijana aliyewavamia polisi auawa Israel

Maafisa wa polisi wa Israel

Raia wa Togo wapiga kura

Raia wa Togo wapiga kura kumchagua raia mpya

Tetemeko la ardhi lawaua 800 Nepal

tetemekonla ardhi mjini Nepal

Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Nepal

Majengo yaliyoharibiwa Nepal

Mwanaharakati maarufu auawa Pakistan

Sabeen Mehmud

Sherehe za miaka 100 zafanyika Gallipoli

Sanamu za makumbusho Gallipoli

Alhamisi, 23 Aprili 2015

Ligi ya England timu 20 kushuka dimbani

Timu ya Chelsea

Armenia wakumbuka vita kuu ya dunia

Raia wa Armenia wakiwa katika kumbukumbu ya mauaji vita kuu ya dunia.

Wahamiaji:Muungano wa Ulaya wapingwa

Waandamanaji wakipinga vifo vya wahamiaji wanaovuka bahari ya shamu kwenda Ulaya

Viera apigiwa upatu kumrithi Pellegrini

Patrick Viera

Klabu bigwa ulaya ,Europa kupangwa kesho

Wanawake wanaokuwa watawa waongezeka UK

Watawa katika mkutano na kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis

Libya:Waasi wanawazuia wahamiaji 400

Wahamiaji wanaoelekea Italy

Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Wanajeshi wa Rwanda wadaiwa kuingia DRC

Wanajeshi wa DRC wakipiga doria

Timu 4 zatinga nusu fainali,Ulaya

Javier Hernandez akishangilia goli mbele ya mashabiki wa Real Madrid

Volcano yalipuka Chile

Mlipuko wa Volcano

Urusi ina Majeshi Ukraine:Marekani

Rais Barack Obama wa Marekani

Hali yaelezwa kuwa mbaya zaidi Yemen

Wapiganaji wa Houthi nchini Yemen

Jumatano, 22 Aprili 2015

Zitto Kabwe ahitimisha ziara yake kwa kishindo wilayani maswa mkoani Simiyu,Azungumzia mambo mawili muhimu

Ndg Zitto akihutubia wananchi wa Wilaya ya Maswa-Simiyu

Nyota wa ligi ya NBA kucheza Afrika

Luol Deng mchezaji wa timu ya Miami Heat ya ligi ya NBA atakayeongoza timu ya nyota wa Afrika katika mchezo wa kwanza mjini Johannesburg, Afrika Kusini

IAAF yataka adhabu zaidi kwa Rita Jeptoo

Rita Jeptoo, mwanariadha wa Kenya anayetumikia adhabu ya kufungiwa miaka miwili kwa kosa la kutumia dawa zakuongeza nguvu michezoni

Hong Kong na utata wa uchaguzi

Waandamanaji wanaotaka demokrasia mjini Hong Kong   

Mashambulizi yaanza tena Yemen

Ndege ya Saudi Arabia yaenda kushambulia Yemen       \\ 


Jumanne, 21 Aprili 2015

Kivumbi leo UEFA, Bayern,PSG kufa kupona

Luis Suarez mfungaji wa mabao mawili ya Barcelona ilipoilaza Paris Saint Germain 3-1

Mkenya ashinda tuzo la Goldman

Phyllis Omido mshindi wa tuzo la Goldman

Mawaziri 16 waapishwa Afghanistan

Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani

Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani

Rais wa zamani Mohammed Morsi

Jeshi kutuliza ghasia Afrika kusini

Waafrika kusini wakimpiga raia wa kigeni

Mkosi wamwandama Brendan,Liverpool


Kocha wa Liverpool,Brendan Rodgers

Mosri kuhukumiwa leo

Mohamed Morsi

Huenda 800 waliangamia baharini

Mashua ya wahamiaji iliyozama

Nahodha wa mashua afunguliwa mashtaka

Wahamiaji waliokolewa siku ya Jumapili

Wazazi fuatilieni watoto wenu wasome - Magufuli.

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, 

Mama aliyeua Watoto Marekani ahukumiwa

Megan Huntsman, Mwanamke aliyehukumiwa kifungo kwa mauaji

Jumatatu, 20 Aprili 2015

Aston Villa yaipania Arsenal fainali FA


                                             Tim Sherwood kocha wa Aston Villa aipania Arsenal

Uchina kuwekeza mabilioni Pakistan


                                                 Bango la kumkaribisha rais Xi nchini Pakistan.

Suluhu yatakiwa haraka kuhusu wahamiaji


Boti ya Italia iliyokuwa katika Operesheni ya kuokoa wahamiaji ikiwa imebeba wahamiaji walikuwa wakisafiri kwenda Ulaya

Jumapili, 19 Aprili 2015

Vita vya kikabila:Watu 45 wauawa Nigeria

                                                     Ghasia za kikabila watu 45 wauawa Nigeria

Utaliana na Malta zalalama khs wakimbizi

                                                                     

Chelsea yailaza Manchester United

Mechi kati ya Chelsea na manchester United iliochezwa katika uwanja wa darajani.Chelsea ilishinda kwa bao moja kwa bila

Arsenal yatinga fainali ya FA


                           Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea bao walilofunga dhidi ya Reading