Jumanne, 27 Oktoba 2015

260 WAMEFARIKI BAADA YA TETEMEKO LA ARDHI ASIA

Zaidi ya watu 260 wamefariki, kutokana na tetemeko hilo baya zaidi la ardhi, katika kipindi cha muongo mmoja.

CCM YAKOMBOA MAJIMBO MKOA WA SIMIYU

Msimamizi wa uchaguzi maswa mashariki na maswa magharibi Bw.Transias Kagenzi akitangaza matokeo

Jumapili, 26 Julai 2015

JIVUNIE KILIMO KWA MAENDELEO YETU

                                                                   Shamba la mtama

ZIARA YA RAIS OBAMA NCHINI KENYA

RAIS WA MAREKANI BARRACK OBAMA HII LEO ANATARAJIWA KUKAMILISHA ZIARA YAKE YA SIKU TATU NCHINI KENYA AMBAPO AMEWAHUTUBIA WAKENYA KATIKA UWANJA WA KASARANI NA BAADAYE KUELEKEA KATIKA CHUO KIKUU CHA KENYATTA ILI KUZUNGUMZA NA MAKUNDI YA WANAHARAKATI NA WANAFUNZI.

Jumanne, 9 Juni 2015

Jack Warner azidi kuchunguzwa

Jack Warner

Salazar akana tuhuma dhidi yake

Kocha wa mchezo wa riadha,Alberto Salazar

Hong Kong yatoa tahadhari ya MERS

Hospitali inayotibu MERS Korea Kusini

Alifungwa miaka 40 upweke sasa yuko huru

Wafungwa watatu wa kundi la Angola Three, Herman Wallace, Robert King na Albert Woodfox

Hukumu ya kifo ya watu 11 itadumu Misri

Hukumu ya kifo ya watu 11 itadumu Misri

Watoto kunufaika na dawa mpya za ARV

Dawa za sasa zinaelezwa kuwa na ladha nzuri kuliko zinazotumiwa hivi sasa

Jumatatu, 8 Juni 2015

Hofu Russia na Qatar kupokonywa uwenyeji

Hofu Russia na Qatar kupokonywa uwenyeji wa kombe la dunia

Erdogan ataka kuwepo utulivu Uturuki

Erdogan ataka kuwepo utulivu Uturuki

Pistorius 'kuachiliwa huru mwezi Agosti'

Mwanariadha mlemavu kutoka Afrika Kusini Oscar Pistorius huenda akaachiliwa huru Agosti tarehe 21

Stanislas Wawrinka kidedea Ufaransa

Wawrinka akiwa na kombe lake alilolitwaa katika michuano ya French Open.

Kombe la dunia kwa wanawake

Christine Sinclair akifurahia ushindi

Lewis Hamilton afurahia ushindi

Tamu na chungu ya ushindi,Lewis akifurahia.

JIFUNZE ZAIDI KUHUSU MASWALA YA UFUGAJI

Visa vya MERS vyaongezeka Korea Kusini


Mhudumu wa afya akiwa nje ya hospitali Korea Kusini

Chama cha Nieto kupata ushindi Mexico

Makatatasi ya kupigia kura nchini Mexico

Vikwazo dhidi ya Urusi vitadumu


Viongozi wa G7

Chama cha AKP chapoteza ushawishi Uturuki

Kura zikihesabiwa Uturuki

Jumamosi, 30 Mei 2015

NEC YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI WA DAFTARI KWA MIKOA MINNE

Maandalizi ya Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika jana 29/5/2015 zaidi ya BVR 1492 zinaanza kusambazwa na Tume ya Uchaguzi Kuanzia mapema Alfajiri Kanda ya Tano ni Mikoa ya Mara,Arusha,Manyara na Kilimanjaro

Jumanne, 5 Mei 2015

JAMII IMETAKIWA KUBADILIKA NA KUWATHAMINI WATU WENYE ALBINISM

Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye akiwakaribisha mameneja wa Redio za jamii nchini walioshiriki kwenye mafunzo ya siku moja ya kutoa elimu kwa Redio za jamii nchini juu ya kuandaa vipindi vyenye ujumbe sahihi wa masuala yanayohusu watu wenye Albinism iliofanyika katika kituo cha Redio Jamii Sengerema hivi karibuni. Katikati ni Afisa mtetezi na ushawishi kutoka shirika linaloshughulika na watu wenye Albinism la Under The Same Sun (UTSS), Kondo Seif na kulia ni Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph.

Matukio ya Kisiasa Israel yakiri makosa kuhusiana na jamii ya Waethiopia

Maandamano ya Waisrael wenye asili ya Ethiopia Tel Aviv .

EAC kushughulikia mgogoro wa Burundi

Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mh Jakaya Kikwete 

Jumamosi, 25 Aprili 2015

Nkurunziza kugombea licha ya pingamizi

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ameteuliwa na chama chake kama mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwezi Juni

Van Gaal amtaka Ryan Giggs kumrithi

Ryan Giggs na Louis Van Gaal

Wenger na Mourinho warushiana maneno

Arsene Wenger

Kijana aliyewavamia polisi auawa Israel

Maafisa wa polisi wa Israel

Raia wa Togo wapiga kura

Raia wa Togo wapiga kura kumchagua raia mpya

Tetemeko la ardhi lawaua 800 Nepal

tetemekonla ardhi mjini Nepal

Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Nepal

Majengo yaliyoharibiwa Nepal

Mwanaharakati maarufu auawa Pakistan

Sabeen Mehmud

Sherehe za miaka 100 zafanyika Gallipoli

Sanamu za makumbusho Gallipoli