Jumanne, 27 Oktoba 2015

CCM YAKOMBOA MAJIMBO MKOA WA SIMIYU

Msimamizi wa uchaguzi maswa mashariki na maswa magharibi Bw.Transias Kagenzi akitangaza matokeo


CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MKOA WA SIMIYU KIMEFANIKIWA KUYAREJESHA MAJIMBO MANNE YA UCHAGUZI YALIYOKUWA YAKIONGOZWA NA VYAMA VYA UPINZANI
AKITANGAZA MATOKEO HAYO MSIMAMIZI WA UCHAGUZI KWA UPANDE WA WILAYA YA MASWA BW TRANSIAN B KAGENZI AMESEMA KUWA VYAMA VILIVYOKUWA VINAWAGOMBEA KWA UPANDE WA WABUNGE KUPITIA MAJIMBO YOTE MAWILI AMBAYO NI MASWA MASHARIKI NA MASWA MAGHARIBI KUWA NI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA},CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM),ADA TADEA PAMOJA NA ACT WAZALENDO
BW.KAGENZI AMEWATAJA WASHINDI KUWA NI STANSLOUS NYONGO ARON KWA UPANDE WA MASWA MASHARIKI KUPITIA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) AMBAYE AMEPATA KURA 28,667 SAWA NA ASILIMIA 67.47% KWA UPANDE WA JIMBO LA MASWA MAGHARIBI NI BW.NDAKI MASHIMBA MASHAURI KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) AMBAYE AMEPATA KURA 28,627 SAWA NA ASILIMIA 63.47%.
washindi ngazi ya ubunge jimbo la maswa mashariki Bw.Stanslous nyongo(kushoto) na maswa magharibi Bw Ndaki mashimba mashauri (kulia)pamoja na katibu wa cc wilaya ya maswa Bw omary mtua wakijadili jambo
HATA HIVYO AMETAJA IDADI YA KATA KATIKA MAJIMBO YOTE MAWILI MASWA MASHARIKI NI KATA 19 NA MASWA MAGHARIBI NI 17 SAWA NA JUMLA YA KATA 36 HUKU JUMLA YA WALIOJIANDIKISHA NI 157,285 WANAUME NI 73,816 WANAWAKE 83,469 SAWA NA ASILIMIA 95.42%
KWA UPANDE WA MASWA MAGHARIBI WALIOANDIKISHWA KUPIGA KURA NI 76,150 WALIOPIGA KURA NI 52,297  WAKATI KURA HALALI ZIKIWA NI 45,164 ZILIZOHARIBIKA NI 44 NA ZILIZOKATALIWA NI 1,689 JIMBO LA MASWA MASHARIKI WALIOJIANDIKISHA NI 81,146 WALIOPIGA KURA NI 56,433 KURA HALALI NI 54,965 ZILIZOHARIBIKA NI 8 NA ZILIZOKATALIWA NI 1,460
Shamra shamra za kupokea matokeo ya uchaguzi wilayani maswa
MAJIMBO MENGINE NDANI YA MKOA WA SIMIYU YALIYOTANGAZA MATOKEO NI JIMBO LA  BUSEGA KWA MUJIBU WA  MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA BUSEGA,HAMIS YUNAH ALIMTANGAZA DR CHEGENI RAPHAEL(CCM)KUWA MBUNGE KWA KUPATA KURA 40,977 NA KUWASHINDA WAGOMBEA WENGINE AMBAO NI DAVID WILLIAM(CHADEMA)KURA 26,995 NA ZANGI ROBERT(UDP)KURA 802.
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA ITILIMA,JOHN LYIMO ALIMTANGAZA NJALU SILANGA(CCM)KUWA MSHINDI KWA KUPATA KURA 55,850 NA KUWASHINDA WAGOMBEA WENGINE AMBAO NI MARTIN MAKONDO(CUF)KURA 28,000,MARTINE MAGILE(CHADEMA)KURA 8000 NA JOHN CHEYO(UDP)KURA 5575.
TAARIFA ZA AWALI JIMBO WA MEATU, SALUM HAMIS(CCM) KUWA MSHINDI NA KUMSHINDA MBUNGE ANAYEMALIZA MUDA WAKE MESHACK OPULUKWA (CHADEMA) NA JIMBO LA KISESA,LUHAGA MPINA(CCM) KUWA MSHINDI.
KATIKA JIMBO LA BARIADI ANDREW CHENGE(CCM) AMEIBUKA NA KUWA MSHINDI.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni