![]() |
Christine Sinclair akifurahia ushindi |
Michuano ya kombe la dunia la wanawake,inaendelea huko canada katika miji tofauti tofauti.michuano hiyo ya kombe la dunia kwa wanawake liliendelea tena hapo jana kwa michezo miwili kupigwa
kati ya Norway .. waliopepetana na ... thailand
ujeruman.. ilioonesha kazi pwani ya samawati ,naizungumzia ivory coast
na matokeo yalikuwa hivi,Norway waliibuka na mtaji wa magoli manne huku Thailand wakikubali matokeo,na kutulia na yai.
kwa upande mwingingine kwenye mechi ya pili ujerumani walijizolea magoli yao mawili na kuwaacha Ivory coast mikono mitupu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni