NEC YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI WA DAFTARI KWA MIKOA MINNE
Maandalizi ya Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika jana 29/5/2015 zaidi ya BVR 1492 zinaanza kusambazwa na Tume ya Uchaguzi Kuanzia mapema Alfajiri Kanda ya Tano ni Mikoa ya Mara,Arusha,Manyara na Kilimanjaro
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni