Jumamosi, 1 Julai 2017

RATIBA YA MWENGE MKOANI SIMIYU 2017

MWENGE WA UHURU

Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza Mbio zake Mkoani Simiyu kuanzia Siku ya Jumanne tarehe 04/07/2017, ambapo utapokelewa Wilayani Meatu ukitokea Mkoani Singida.

Tarehe 05/07/2017 utakuwa Itilima, 06/07/2017  Halmashauri ya Mji Bariadi, 07/07/2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi, 08/07/2017 Busega, 09/07/2017 Maswa na tarehe 10/07/2017  asubuhi utakabidhiwa Mkoani Shinyanga ukitokea Wilayani Maswa.

Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Simiyu utaweka Mawe ya Msingi na kufungua Miradi Mbalimbali ya Maendeleo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni