Jumapili, 30 Julai 2017

RC SIMIYU;KIPAJI NI BIASHARA ,KIPAJI NI AJIRA




Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mh Anthony Mtaka (mwenye pikipiki) akiwa katika picha ya pamoja na baadh ya washiriki wa mashindano ya mbio za Baiskeli kutoka mkoani humo ambayo yatafanyika Agosti 06, 2017 Mjini Bariadi.

Ijumaa, 28 Julai 2017

RC; SIMIYU YAJIPANGA WAFUGAJI WAFUGE KISASA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe, .Anthony Mtaka akizungumza na viongozi wa Serikali, viongozi wa dini, wafugaji,wataalam na wadau mbalimbali wa mifugo kutoka ndani na nje ya Simiyu(hawapo pichani) katika kikao maalum kilichofanyika Mjini Bariadi.

Jumamosi, 15 Julai 2017

VIJIJI 347 KUPATA UMEME ITILIMA



  Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe.Dkt.Medard Kalemani akizindua Mradi wa Umeme Vijijini (REA)Awamu ya Tatu Mkoani Simiyu katika Kijiji cha Nangale wilayani Itilima (kushoto) Mkuu wa mkoa huo, Mhe.Anthony Mtaka.

Jumapili, 9 Julai 2017

MKAPA:TUAMKE TUSITARAJIE MATAIFA KUTUINUA WAKATI TUMEKAA.



Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamina Mkapa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la upasuaji katika kata ya nkoma walayani Itilima mkoani simiyu, kulia kwake ni waziri wa Afya, Maendeleleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu na kushoto kwake ni balozi wa japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida pembeni ya balozi ni mkuu wa mkoa wa simiyu Antony Mtaka

MBUNGE AIOMBA WIZARA YA AFYA WATUMISHI, VIFAA TIBA.


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na wananchi wa kata ya Nkoma na wilaya ya itilima mara baada na kuwahakikishia kuwa mwezi Desemba wataleta mashine ya Mionzi (ultra sound) katika kituo hicho.

Jumanne, 4 Julai 2017

MIRADI YA BILIONI 8 KUPITIWA NA MWENGE WA UHURU SIMIYU

 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu , Mhe.Anthony Mtaka akipokea Mwenge wa Uhuru  kutoka kwa moja wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa leo katika Kijiji cha Bukundi wilayani Meatu.