Jumatano, 1 Novemba 2017

MASWA YAKOPESHA MAMILIONI VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE

wanne kutoka kulia ni mkuu wa wilaya ya maswa dkt Seif Shekalaghe na watano toka kulia ni mwenyekiti wa ccm wilaya ya maswa wakiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa  madiwani ,watendaji wa halmashauri ya maswa pamoja na wawakilishi wa vikundi vilivyopokea hundi.

Jumatano, 6 Septemba 2017

RC MTAKA:SIMIYU KUJENGA KIWANDA CHA BIDHAA ZA AFYA


Mkuu wa mkoa wa Simiyu mhe, Antony Mtaka akizungumza na wananchi wa Kata ya Dutwa(hawapo pichani) Wilayani Bariadi katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Igaganulwa  wakati wa ziara yake aliyofanya kwa lengo la kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Jumamosi, 2 Septemba 2017

DC MASWA:TATIZO LA MAJI KUTATULIWA NDANI YA WIKI MBILI



Aliyesimama ni mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya maswa dkt Self shekalaghe akiongea na waislamu kwenye baraza la Eid El Hajj

Jumatatu, 7 Agosti 2017

ARUSHA,MWANZA WANG'ARA SIMIYU JAMBO FESTIVAL

Naibu Spika wa Bunge la  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson (mwenye bendera nyeupe kulia) akifungua mashindano ya Mbio za Baiskeli Mkoa wa Simiyu(Simiyu Jambo Festival) kwa kuruhusu washirikuanza mashindano hayo Mjini Bariadi.

DKT TULIA AIPONGEZA SIMIYU

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson akizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano mjini Bariadi

RC SIMIYU:WAKUU WA SHULE KUWENI WABUNIFU


Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Mhe,Anthony Mtaka akizungumza na Wakuu wa Shule (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo yao ya siku mbili yaliyofanyika Mjini Bariadi, (kulia) Afisa Elimu Mkoa, Mwl.Julius Nestory.

Jumapili, 30 Julai 2017

RC SIMIYU;KIPAJI NI BIASHARA ,KIPAJI NI AJIRA




Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mh Anthony Mtaka (mwenye pikipiki) akiwa katika picha ya pamoja na baadh ya washiriki wa mashindano ya mbio za Baiskeli kutoka mkoani humo ambayo yatafanyika Agosti 06, 2017 Mjini Bariadi.