Jumatatu, 7 Agosti 2017

ARUSHA,MWANZA WANG'ARA SIMIYU JAMBO FESTIVAL

Naibu Spika wa Bunge la  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson (mwenye bendera nyeupe kulia) akifungua mashindano ya Mbio za Baiskeli Mkoa wa Simiyu(Simiyu Jambo Festival) kwa kuruhusu washirikuanza mashindano hayo Mjini Bariadi.

DKT TULIA AIPONGEZA SIMIYU

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson akizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano mjini Bariadi

RC SIMIYU:WAKUU WA SHULE KUWENI WABUNIFU


Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Mhe,Anthony Mtaka akizungumza na Wakuu wa Shule (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo yao ya siku mbili yaliyofanyika Mjini Bariadi, (kulia) Afisa Elimu Mkoa, Mwl.Julius Nestory.