Jumatano, 2 Machi 2016

MH MAJALIWA AWASILI WILAYANI BUSEGA KWA ZIARA YA MKOA WA SIMIYU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa a Simiyu, Erasto Mbwiro baada ya kuwasili wilayani Busega kuanza ziara ya mkoa huo, Machi 2, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni baada ya kuwasili wilayani Busega akiwa aktika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi 2, 2016. Katikati ni Mkuu wa Mkoa huo, Erasto, Mbwiro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Busega akiwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 2, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na viongozi wengine wakipiga makofi mara baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Busega akiwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 2, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Nyashimo wilayani Busega kabla ya kukagua ujenzi wa wodi ya wazazi  kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi, 2, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Paul Mzindakaya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni