Jumatatu, 1 Februari 2016

KUTANA JOSEPH NILLA MACHEMBA KIJANA ANAYEFANYA KWELI KATIKA FILAMU ZA KIBONGO


Joseph Nilla Machemba akiwa kikazi zaidi



           
  Joseph nilla machemba ni  mzaliwa wa Bariadi mkoani Simiyu kabila msukuma ,kijana huyu kaingia kwa kasi kwenye tasnia hii na kuwa na ndoto kubwa.

Kama  wewe ni mpenzi wa movie za kibongo sura hii sio ngeni kwako.  
Joseph Nilla Machemba
 Msanii huyu kesha toa movie nyingi na kushirikiswa kwenye movie nyingi vilevile ni mtu anayependa watu wa rika zote.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni